Sunday, September 30, 2012

jamani kuna methali inasema dunia tambala bovu natamani kuelewa maana ya hii methali kwani nahisi nailewa tofati karibuni tushare ili nami nielewe. nawatakia majukumu mema ya ujenzi wa taifa la Tanzania

Monday, August 27, 2012

jamani habari zenu hivi hao academic supervisor wamefika kwenu au ndio waleta uzushi maana siku zimeisha na hatujawaona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! poleni na field wapendwa

Friday, August 10, 2012

Habari za field

Ebu niambieni mnaonaje soko la ajira huko sehem zenu za field maana hali ni tata jamani.

Thursday, August 9, 2012

System analyst's



Hellow friends your welcome to my blog and let us share different ideas.............